Jumanne, 13 Desemba 2016

Wajua???

Je wajua kuwa YAO DEFEN ndio msichana mrefu zaidi duniani. Basi Yao Defen raia wa nnchini China ndo mwanadada mrefu zaidi anayeishi katika ulimwengu huu.Akiwa na miaka arobaini na nne tu (44) amekuwa na urefu unaofikia futi saba (7) na inchi  nane (8) ambao in sawa na sentimita 233 na akiwa na uzito wa kilo 179.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni